Happy Birthday Floyd Mayweather

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,588
25,561
Leo ni kumbukumbu ya mfanano wa siku ya kuzaliwa ya bondia tajiri zaidi duniani ambaye si mwingine bali ni Floyd Mayweather Jr wengi wanapenda kumuita The Money May.

Floyd Jr baba yake mzazi anaitwa Floyd Mayweather Sr ambaye alikuwa pia bondia na mama yake Deborah Sinclair alikuwa ni mhasibu.

Floyd amezaliwa Februali 24 1977 huko Michigan Marekani.

Floyd amepata mafanikio makubwa sana kwenye boxing na kumfanya kuwa bondia tajiri zaidi duniani .

Floyd amefanikiwa kumiliki mikanda mikubwa zaidi duniani katika madaraja tofauti tofauti.

Floyd alishinda taji lake la kwanza la dunia mwaka 1998 alipomshinda WBC super featherweight champion Genaro Hernandez.

Floyd ni bondia ambaye ni full package yani anakila kitu cha kumfanya kuwa bondia bora zaidi duniani kwa wakati wote.

Mpaka anastafu masumbwi Floyd amepigana mapambano 50 pro fights na yote ameshinda na hajawahi kutoa hata sare.

Sifa kubwa zaidi zinazomtambulisha Floyd ni uwezo wa hali ya juu wa kujilinda pia ndiye bondia mwenye shabaha zaidi kuwahi kutokea hapa duniani.

1276398181.jpg
images (2).jpeg
 
View attachment 2914924View attachment 2914925
wasaKj8I_400x400.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom