BL4 Member Sep 24, 2012 69 27 Dec 25, 2016 #1 Ninapenda kumshukuru sana Bwana kwa kunilinda hatimae kuingia mwaka mwingine katika maisha yangu leo nimezaliwa mama yangu na Baba yangu walishangulia na kufurahi kuwa tumepata mtt mwanaume na jina lake ataitwa EMMANUEL
Ninapenda kumshukuru sana Bwana kwa kunilinda hatimae kuingia mwaka mwingine katika maisha yangu leo nimezaliwa mama yangu na Baba yangu walishangulia na kufurahi kuwa tumepata mtt mwanaume na jina lake ataitwa EMMANUEL
Adolph Jr JF-Expert Member Nov 5, 2016 5,897 9,444 Dec 25, 2016 #2 Happy birthday somo...Emmanuel....Daima 'Tumsifu mtoto Yesu kristo'....
pistmshai JF-Expert Member Dec 12, 2016 1,313 3,683 Dec 25, 2016 #3 mkuu..! si huwa nasikia nyie mashahidi wa Jehova hamsherehekei sikukuu zenu za kuzaliwa..!
lucley JF-Expert Member Jun 15, 2016 725 1,982 Dec 25, 2016 #5 Happy born date mkuu, happy birthdate na kwangu pia. Tunashare tarehe mkuu.
BL4 Member Sep 24, 2012 69 27 Dec 25, 2016 Thread starter #6 lucley said: Happy born date mkuu, happy birthdate na kwangu pia. Tunashare tarehe mkuu. Click to expand... Happy to oll my friend
lucley said: Happy born date mkuu, happy birthdate na kwangu pia. Tunashare tarehe mkuu. Click to expand... Happy to oll my friend
Job K JF-Expert Member Oct 4, 2010 9,314 7,150 Dec 25, 2016 #7 Mimi nikafikri ni siku ya Furaha ya kuoga! Kumbe ni kuzaliwa?
ElPuto Jefe JF-Expert Member Oct 16, 2015 5,281 19,390 Dec 25, 2016 #8 Mkuu hapo kwenye tittle ni bath hiihii au kuna nyingine..
BL4 Member Sep 24, 2012 69 27 Dec 25, 2016 Thread starter #9 Job K said: Mimi nikafikri ni siku ya Furaha ya kuoga! Kumbe ni kuzaliwa? Click to expand... Oga tena ha!
Job K said: Mimi nikafikri ni siku ya Furaha ya kuoga! Kumbe ni kuzaliwa? Click to expand... Oga tena ha!
Job K JF-Expert Member Oct 4, 2010 9,314 7,150 Dec 25, 2016 #10 BL4 said: Oga tena ha! Click to expand... Umefanya vizuri ku-edit hiyo heading yako maana ilikuwa inamaanisha kuoga na siyo kuzaliwa!
BL4 said: Oga tena ha! Click to expand... Umefanya vizuri ku-edit hiyo heading yako maana ilikuwa inamaanisha kuoga na siyo kuzaliwa!
L Leopold Rwegoshora JF-Expert Member Oct 29, 2016 328 255 Dec 25, 2016 #11 inafurahisha leo ni bithday ya baba mzazi mzee Emmanuel Ruta 84