briophyta plantae
Senior Member
- Feb 18, 2017
- 114
- 129
Tatizo litakuwa ni nini hapa..? Hivi sasa jamii na hichi kizazi kwa ujumla mambo yamebadilika sana, haswa kwenye suala la mahusiano na haya mahusiano ndio msingi wa uchumba,ndoa mpaka kujenga familia na familia zilizo bora ndio huenda kutengeneza jamii zilizo bora.
Sasa hv mwanamke hata umtoe bikra, haina maana ataolewa na wewe au atakupa nafasi thamani yako ya pekee,labda kwa mbaliii mfukoni uwe unajiweza,hawaoni hata thamani yao halisi kwa sasa,ndio maana hawaoni shida kukaa hata kwenye press na kusema bora kuwa single mother kuliko kuolewa.kuna tatizo mahali,hebu tupeaneni mawazo