Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,310
Sikia! Kila kitu kina mlango ili ukiingie! Hata wanzinzi, wezi, mafisadi, nk kabla ya kufanya tukio ujiuliza nitaingilia wapi? Ukitaka kuingia kwako hata chumbani kwako lazima upitie mlangoni!
Sijali kama unaamini au huamini (atheists) lakini ujue kuna mfumo uliounda ulimwengu tunaoishi una mlango. Mlango wa kuingia dunia hii na ulimwengu wake wa yule aliyeuumba ni Israel! NARUDIA!
Mlango wa huyo Mungu unayemuomba na kufunga kuingilia kati matatizo yako wewe unayeishi hii dunia ni kupitia Israel 🇮🇱.
Nimemaliza!