Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 2,239
- 4,024
Ipo hivi wakuu wiki 3 zilizopita kuna mdada alikuwa anafanyia kazi karibu na ofisini kwangu yupo vizuri shepu safi halafu dem alionekana kunielewa sana.
Basi tukaanza mahusiano nakumbuka alinifoce sana kuja home nikakataa coz sikuwa na kinga kwa gheto sababu mimi sio mtu wa mambo hayo kivile na hapo nilikuwa kama nina miezi 6 nipo single.
Basi next time akanichek tena akaniforce sana hatimae nikamla sababu alikuwa mtu wa dini sana tena kiongozi wa kwaya kanisani basi nikamuamini na nilimpiga show ya maana sikuvaa kinga kosa lingine hilo aisee ninajuta sana.
Sasa baada ya kumla imepita kama siku mbili yule dem akataka tena nikamgonge maana alielewa show yangu sasa jioni yake nikahisi kama mtekenyo fulani nikatoa mashine kuchek nikaona kama usaha like shahawa vile nikajua hapa tayari nishayatimba nikamtafuta yule dem nikamueleza yeye pia akashangaa maana akujua bac nilimind kinoma maana huwa nipo makini sana na afya halafu nimekuja kuipata kizembe hivi.
Basi nikamchek mwanangu mmoja akaniambia yupo daktari mmoja mstaafu huwa anazitibu sana hizo mambo maana kwenda hospitali niliona jau basi tukaenda na mshkaji akinipa pakt ya dawa kama vidonge kumi hivi vya pink unameza kimoja asubuhi na jioni nikapiga hivyo vidonge vikakata ishu ni kwamba maumivu siskii shida mzigo muda wote unatema vitu kama mkojo na sometime vitu kama maziwa ila maumivu hakuna.
Nikamchek mwanangu nikamueleza akaniambia turudi tena kwa dokta akanipa tena dozi ya pili nimemaliza still mzigo bado basi jana nikaona sio kesi basi nikaenda hospitali mbaya zaidi nilikutana na wahudumu wa kike kuanzia dokta mpaka nesi aisee baada ya kupata vipimo dokta kaniambia pole umekutwa na gono pia akaniambia hii sio ishara nzr but its ok.
Tumia dozi ya sindano kwa siku tano na dawa utakuwa sawa. Imeniuma sana coz kila muhudumu wa pale alikuwa akisoma kadi yangu anasikitika kuna mmama mmoja akaniambia kijana mbona unajidhalilisha hivi aisee niliona aibu mno.
Yaani hapa nina hofu kweli natamani sana kwenda kuchek HIV ila ujasiri huo sina nimejitunza kwa miaka mingi sometime nakaa muda mrefu niko single halafu nimekuja kupata ugonjwa kijinga sana na kwanza ndio mimepata ajira eeeh Mungu nisaidie nisiwe nimepewa gono+HIV sina amani, nina mashaka muda wote.
Halafu nasikia huyu dem alikuwa dodoma.
Kingine wakuu kuna uhusiano gani kati ya ngoma na gono maana kuna mtu aliniambia hizi mambo zinaendana na hapo ndio nikachanganyikiwa zaidi.
Najiskia vibaya sana jana imenitoka 40k kwa ujinga wangu mwenyewe yaani mtu kaniachia maradhi na bado pesa nilikuwa nampa aisee.
Hakika zinaa ni mbaya Mungu aninusuru na pia natamani kupima HIV ila hofu inanifanya nishindwe kutimiza hilo lengo.
Naishi kwa mashaka sina amani kabisa ndugu zangu