Hapa mtaani kuna bodaboda amejenga halafu mimi mtumishi hata uwanja bado

Hii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
Boda bodo sio mwenzio mualimu kipato chake kiko juu anapata wasitani wa sh 30k kwa 50k kwa siku mwezi ni 900k kwa 1.5m, haina kodi au bima auNSSF wewe mualimu kwa mwenzi 560k paye, Nhif, CWT nk unabakiza 450k utaweza kuishi kweli?
 
Hii ikoje wakuu, kwamba jamaa wako smart kutuliko? Bodaboda wanafanikiwa kimaisha kuliko sisi watumishi! Haya mambo haya anyway.
Bodaboda wakisikia kuna viwanja huko maporini wanaenda nunua kwa lak 6 hivi wakati huo nyie mkisema haaa nani akaishi huko. Boda anashusha nyumba vyake viwili wewe bado unasubiri zali ili ujenge madale baada ya niaka huko mashambani watu washahamia viwanja havishikiki, na wewe bado na masela wako mko vile vile.
Akili kichwani mtu wangu
 
Boda bodo sio mwenzio mualimu kipato chake kiko juu anapata wasitani wa sh 30k kwa 50k kwa siku mwezi ni 900k kwa 1.5m, haina kodi au bima auNSSF wewe mualimu kwa mwenzi 560k paye, Nhif, CWT nk unabakiza 450k utaweza kuishi kweli?
Kwhy unanimbia mkuu nikinunua pikipiki nikampa kijana mwaminifu kuna uwezekano wa kuvuta kwa mwezi 400K.?
 
Back
Top Bottom