KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,179 69,236 Jul 16, 2016 #2 maisha yanagharama that why hapa kazi tu
Zuleykha JF-Expert Member May 20, 2016 1,176 1,680 Jul 16, 2016 #3 KENZY said: maisha yanagharama that why hapa kazi tu Click to expand... Gharama ndo inasababisha maisha kuwepo
KENZY said: maisha yanagharama that why hapa kazi tu Click to expand... Gharama ndo inasababisha maisha kuwepo
P Percival JF-Expert Member Mar 23, 2010 3,505 2,409 Jul 16, 2016 #4 Hao akina mama inaonesha wameridhika na kujitwisha ndoo mpaka wanampa tano mkuu
mair erasto JF-Expert Member Jul 13, 2016 413 425 Jul 17, 2016 #5 hao wakina mama wataishia kupiga picha na viongozi wao.
C Camp Gilgal JF-Expert Member Dec 13, 2014 4,452 4,580 Jul 17, 2016 #6 Percival said: Hao akina mama inaonesha wameridhika na kujitwisha ndoo mpaka wanampa tano mkuu Click to expand... mair erasto said: hao wakina mama wataishia kupiga picha na viongozi wao. Click to expand... Hao mbona ni watoto?! Wamefurahi kumuona LIVE, huenda walizoea kumuona tu pale ITV.
Percival said: Hao akina mama inaonesha wameridhika na kujitwisha ndoo mpaka wanampa tano mkuu Click to expand... mair erasto said: hao wakina mama wataishia kupiga picha na viongozi wao. Click to expand... Hao mbona ni watoto?! Wamefurahi kumuona LIVE, huenda walizoea kumuona tu pale ITV.