Mkuu kweli kabisa..
Hapa Kazi Tu imejifia natural death.
Waumini wa Hapa Kazi Tu hawaamini jinsi jamaa alivyowatenda na jinsi Nchi inavyokwenda hobela hobela..!!
Na bado.
Hapa kazi tu is not a slogan fools, it is a way of life kwa watu wajanja. Malofa hamuwezi ng'amua.
Lazima imekuuma sana!Sio kwa povu hili aiseeHapa kazi tu is not a slogan fools, it is a way of life kwa watu wajanja. Malofa hamuwezi ng'amua.
Lazima imekuuma sana!Sio kwa povu hili aisee
Mkuu kweli kabisa..
Hapa Kazi Tu imejifia natural death.
Waumini wa Hapa Kazi Tu hawaamini jinsi jamaa alivyowatenda na jinsi Nchi inavyokwenda hobela hobela..!!
Na bado.
Mkuu kweli kabisa..
Hapa Kazi Tu imejifia natural death.
Waumini wa Hapa Kazi Tu hawaamini jinsi jamaa alivyowatenda na jinsi Nchi inavyokwenda hobela hobela..!!
Na bado.
Umepanic!Povu gani, kajitawaze nalo
Na wewe ni shahidi hata kama hutaki kukubali ila moyo wako unakusuta
Jamaa wale waliokuwa wanazunguka na tarumbeta za hapa kazi tu siku hizi tarumbeta zao zimejaa mate kiasi kwamba hawawezi tena kusema ile slogan ya hapa kazi tu maana wanachokiona hawakiamini. Siku zote walizani wakivaa kofia ile na zile shati za kijani kwao mambo yatakuwa mepesi na wapinzani hasa Lowassa atakipatapata, leo midomo imekula ndimu kiasi wanashindwa kutamka mbele ya

Kuna shida na slogan za wana siasa wakati wa kampeni wakati wa Mkapa alisema slogan yake........ikafa mapema sana miaka 5 yake ya kwanza(uwazi na ukweli)......miaka 5 ya mwisho ikawa chukua chako mapema........na tulia!!! Akaja bwana JK heeee alikuja na Ari mpya nguvu mpya......ilidumu miaka 2 tu ya kwanza.....baada hhapo akajitwalia nchi nzimaaaa ikiwa naive.........yeye akawa bwana na tajiri(slave masters).........ile slogan imekufa mapema zaidiii ya utendaji wake
Ila haijasema.anayefanya kazi apunjwe.Shauri yako, hata biblia inaandika asiyefanya kazi asile.