Hapa Kariakoo nimejifunza mengi ikiwemo asili ya Neno CHAWA ni Chawia. Wachawi walogao kwa Maneno ndio CHAWA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
95,470
167,286
Kumbe wafanyabiashara Wana Vijana Wao wanakaa milangoni na akiingia Mteja anayesomeka kuwa na fedha basi tajiri humwambia Dogo " Chawia" Yani piga Maneno ya Kumsifia Mteja hadi ajikute ananunua

Naambiwa ipo tofauti Kati ya Winga na Chawia( Chawa) na kwamba Chawia huwa Wanasifu Uwongo kuliko Ukweli na wanatengeneza hela Kwa kuongea tu ndio matajiri wa CCM wamecopy huu mfumo na kuwaita CHAWA wa Kusifu na Kuabudu Wanasiasa

Tupo kariakoo Kwa ajili ya maombi ya kulitakasa anga Ili Giza liondoke na Nuru ya Yesu Kristo iangazie

Tumeyashuhudia hapa machozi ya Wana wa Tanzania wakimlilia Mungu wa mbinguni

Mungu wa mbinguni ni MWEMA wakati wote
 
Back
Top Bottom