Handeni: Mkuu mpya wa Wilaya Albert Msando aanza na Tezi Dume

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,907
239,846
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mh Albert Msando amehamasisha wanaume wa Handeni kupima Tezi dume kwa hiyari.

Bado haijafahamika sababu ya msingi ya DC huyu kuanza na kipaumbele hiki katikati ya changamoto zote.

Ngoja tuone kitakachofuata.
 
Wewe mara ya mwisho ulipima tezi dume lini? Unapima kwa ajili ya kulinda afya yako, usijejikuta umechelewa na ikawa too late. Chukua tahadhari mapema.
 
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mh Albert Msando amehamasisha wanaume wa Handeni kupima Tezi dume kwa hiyari.

Bado haijafahamika sababu ya msingi ya DC huyu kuanza na kipaumbele hiki katikati ya changamoto zote.

Ngoja tuone kitakachofuata.
Kaanza na kipaumbele cha tezi dume. Subiri tuone kipaumbele cha pili kitakuwa ni nini
 
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mh Albert Msando amehamasisha wanaume wa Handeni kupima Tezi dume kwa hiyari.

Bado haijafahamika sababu ya msingi ya DC huyu kuanza na kipaumbele hiki katikati ya changamoto zote.

Ngoja tuone kitakachofuata.
Lissu ameanza kwa kupeleka nguo kwa wazee wakafanye matambiko ya kishirikina
 
Mzee wa Gundu, ashaanza kuichafua Tanga, ajali imeshatokea mkoa wa Tanga na kuua 20.

Msando akasafishe nyota ya gundu aliyoipata kuchezea nyeti za giggy mahela.
 
...MWULIZENI pia kuhusu msitu wa bondo wanaondolewa lini au hawaoondolewi
 
Hilo Ndiyo Tatizo Kubwa Handeni, Hawa Viongozi Wana Tatizo Gani Jamani
 
Afya ni jambo muhimu, Lisu anapambania pesa za kinua mgongo na matibabu atokome zake Ubeligiji awache watungua madafu hapo CHADEMA
 
Bado haijafahamika sababu ya msingi ya DC huyu kuanza na kipaumbele hiki katikati ya changamoto zote.
Yule RC alisema atawasaka kitanda kwa kitanda kuanzia Kivukoni hadi Kibamba kuanzia Bunju hadi Mbagala na Msasani hadi Kitunda.
 
Back
Top Bottom