Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,663
- 4,606
πππ
Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote
πππ. Najua ni ngumu kwani kuna kausha damu, lakini mfanye atamani kukutana na wewe kwa kumuonyesha kwamba unamkumbukaβ€οΈβ€οΈβ€οΈ.
Kwa mfano, uko kazini, mtumie meseji umwambie: βLeo natamani nikifika tu nikuone umevaa ile chupi** yako nyeupe, ile iko hivi na vile, inanichanganya sana!πππβ*
Hapa utakuwa umefanya mambo matatu muhimu kwa akili ya mwanamke:π π π
1. Umeonyesha kuwa niko kazini lakini nakuwaza weweπ₯°π₯°π₯°.
2. Umeonyesha kuwa unamjua vizuri kiasi kwamba unakumbuka hata hiyo chupi*** yake nyeupe.πππ
3. Umeonyesha kuwa una hamu naye na usiku ajiandae kwa mechiππ₯π¦!
Najua wakati mwingine wanaume maisha yanakuwa magumu kiasi kwamba hata huwezi kuwaza kuhusu mapenzi, huna muda wa vitu vidogo vidogo, lakini kwa wanawake ndiyo vitu vya muhimu!πππ
Wish you well all couplesπππ