WAUMINI 30 WA KANISA LA MORAVIAN KORTINI KWA VURUGU
Hii ni safari ya kwenda kusomewa mashitaka yao.
Akina mama wakificha sura zao baada ya kutoka mahakamani.
Watuhumiwa wakiingizwa mahakamani. …
Niliwahi Kuripoti humu hali ya sintofahamu kufuatia msigano baina ya waumini na viongozi wa kanisa la Moravian Mwananyamala Dsm
Baada ya Kanisa hilo kuzungushiwa ugo mwekundu na Jeshi la Polisi kuashiria hatari na waumini kupigwa stop kusalin hapo, hali ya amani ilirejea na waumini kuanza kuabudu kwa pamoja japo kwa inda, huku wakiongizwa na Mchungaji wa KKKT wakati sulhisho la kudumu likiendelea kutafutiwa ufumbuzi
Hali Hiyo Imeanza kurejea tena baada ya utengo wa dhahiri wa waumini hao ambao wakati wengine wakiamua kusali nje tena kwa vikundi, makundi ya waumini yamekuwa yakionekana baada ya Ibada huku wakirushiana maneno yenye taathira ya uvunjifu wa amani
yasemekana serikali imepanga kukutanisha pande mbili zinazosigana kwa utatuzi wa kudumu
Kanisa la Moravian linatia aibu isiyosemekana.Niliwahi Kuripoti humu hali ya sintofahamu kufuatia msigano baina ya waumini na viongozi wa kanisa la Moravian Mwananyamala Dsm
Baada ya Kanisa hilo kuzungushiwa ugo mwekundu na Jeshi la Polisi kuashiria hatari na waumini kupigwa stop kusalin hapo, hali ya amani ilirejea na waumini kuanza kuabudu kwa pamoja japo kwa inda, huku wakiongizwa na Mchungaji wa KKKT wakati sulhisho la kudumu likiendelea kutafutiwa ufumbuzi
Hali Hiyo Imeanza kurejea tena baada ya utengo wa dhahiri wa waumini hao ambao wakati wengine wakiamua kusali nje tena kwa vikundi, makundi ya waumini yamekuwa yakionekana baada ya Ibada huku wakirushiana maneno yenye taathira ya uvunjifu wa amani
yasemekana serikali imepanga kukutanisha pande mbili zinazosigana kwa utatuzi wa kudumu
very powerful sentiment, I wish wahusika wanegiona ama nikushauri pia uandike makala kwa gazeti maana lengo kwa kweli ni utatizi si uchocheziMgogoro wa kanisa la Moravian nchini unasababishwa na mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye pia ni kada wa CCM anayeitwa YONAH SONELO. Tusioneane aibu hapa, huyu bwana ndiye chanzo kikuu cha migogoro yote ya makanisa ya Moravian nchini, hata serikali inalijua sana hili.. Anatumia pesa zake kutengeneza migogoro kwa maslahi ya biashara zake. Amekuwa akilazimisha kuweka viongozi wa jimbo anaowataka wasiosoma kama yeye ili aweze kupitisha mizigo yake anayoagiza nje ya nchi bila kulipa kodi. Amekuwa akifanya juu chini kuwaondoa viongozi na wachungaji wasomi na kuwaweka ma-mbumbu wasiosoma. Hata aliyekuwa Askofu mkuu wa KKKT askofu Malasusa alitokea kanisa la Moravian baada ya kupigwa vita. KAMA SERIKALI IKIAMUA KWA DHATI KUMALIZA MIGOGORO YA KANISA LA MORAVIAN INAWEZA, LAKINI SERIKALI NDIYO INEKUWA IKIILEA MIGOGORO HII KWA SABABU TU HUYU BWANA SONELO NI KADA WA CCM PIA UNA UKARIBU NA GEN. MWAMUNYANGE NDIYO MAANA HATA KAMPUNI YAKE IMEPEWA TENDA YA KU-SUPPLY VYAKULA KARIBU KATIKA MAKAMBI YOTE YA JESHI NCHINI
Ndio huyu tajiri mwenye mabasi ya Rungwe>? maana na yeye anasumbua kidogo nasikiaMgogoro wa kanisa la Moravian nchini unasababishwa na mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye pia ni kada wa CCM anayeitwa YONAH SONELO. Tusioneane aibu hapa, huyu bwana ndiye chanzo kikuu cha migogoro yote ya makanisa ya Moravian nchini, hata serikali inalijua sana hili.. Anatumia pesa zake kutengeneza migogoro kwa maslahi ya biashara zake. Amekuwa akilazimisha kuweka viongozi wa jimbo anaowataka wasiosoma kama yeye ili aweze kupitisha mizigo yake anayoagiza nje ya nchi bila kulipa kodi. Amekuwa akifanya juu chini kuwaondoa viongozi na wachungaji wasomi na kuwaweka ma-mbumbu wasiosoma. Hata aliyekuwa Askofu mkuu wa KKKT askofu Malasusa alitokea kanisa la Moravian baada ya kupigwa vita. KAMA SERIKALI IKIAMUA KWA DHATI KUMALIZA MIGOGORO YA KANISA LA MORAVIAN INAWEZA, LAKINI SERIKALI NDIYO INEKUWA IKIILEA MIGOGORO HII KWA SABABU TU HUYU BWANA SONELO NI KADA WA CCM PIA UNA UKARIBU NA GEN. MWAMUNYANGE NDIYO MAANA HATA KAMPUNI YAKE IMEPEWA TENDA YA KU-SUPPLY VYAKULA KARIBU KATIKA MAKAMBI YOTE YA JESHI NCHINI
Hakika mfuatilieni vizuri huyo anayeliingiza kanisa la Mungu katika utata.Mgogoro wa kanisa la Moravian nchini unasababishwa na mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye pia ni kada wa CCM anayeitwa YONAH SONELO. Tusioneane aibu hapa, huyu bwana ndiye chanzo kikuu cha migogoro yote ya makanisa ya Moravian nchini, hata serikali inalijua sana hili.. Anatumia pesa zake kutengeneza migogoro kwa maslahi ya biashara zake. Amekuwa akilazimisha kuweka viongozi wa jimbo anaowataka wasiosoma kama yeye ili aweze kupitisha mizigo yake anayoagiza nje ya nchi bila kulipa kodi. Amekuwa akifanya juu chini kuwaondoa viongozi na wachungaji wasomi na kuwaweka ma-mbumbu wasiosoma. Hata aliyekuwa Askofu mkuu wa KKKT askofu Malasusa alitokea kanisa la Moravian baada ya kupigwa vita. KAMA SERIKALI IKIAMUA KWA DHATI KUMALIZA MIGOGORO YA KANISA LA MORAVIAN INAWEZA, LAKINI SERIKALI NDIYO INEKUWA IKIILEA MIGOGORO HII KWA SABABU TU HUYU BWANA SONELO NI KADA WA CCM PIA UNA UKARIBU NA GEN. MWAMUNYANGE NDIYO MAANA HATA KAMPUNI YAKE IMEPEWA TENDA YA KU-SUPPLY VYAKULA KARIBU KATIKA MAKAMBI YOTE YA JESHI NCHINI
ndiyo huyo huyo mkuuNdio huyu tajiri mwenye mabasi ya Rungwe>? maana na yeye anasumbua kidogo nasikia