Hamas, nyinyi ni wana wa mbwa.-Malamud Abbas(Abu Mazen)

Echolima1

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
1,982
2,023
Rais wa Mamlaka ya Palestina atoa kauli isiyo ya kawaida: "Hamas, nyinyi wana wa mbwa, wapeni mateka watuondoleeni tatizo hili."

Mwenyekiti wa Mamlaka ya Palestina Abbas alitoa taarifa kwa vyombo vya habari, akihutubia Hamas: "Wana mbwa, wakabidhini mateka na tuondoleeni tatizo hili." Pia ametoa wito kwa shirika hilo la kigaidi: "Peana silaha zako kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na uwe chama cha kisiasa tu."
 
Attachments

  • IMG_2607.jpeg
    IMG_2607.jpeg
    217.8 KB · Views: 1
Rais wa Mamlaka ya Palestina atoa kauli isiyo ya kawaida: "Hamas, nyinyi wana wa mbwa, wapeni mateka watuondoleeni tatizo hili."

Mwenyekiti wa Mamlaka ya Palestina Abbas alitoa taarifa kwa vyombo vya habari, akihutubia Hamas: "Wana mbwa, wakabidhini mateka na tuondoleeni tatizo hili." Pia ametoa wito kwa shirika hilo la kigaidi: "Peana silaha zako kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na uwe chama cha kisiasa tu."

View: https://x.com/lalshareef/status/1915020024789741732
 
Rais wa Mamlaka ya Palestina atoa kauli isiyo ya kawaida: "Hamas, nyinyi wana wa mbwa, wapeni mateka watuondoleeni tatizo hili."

Mwenyekiti wa Mamlaka ya Palestina Abbas alitoa taarifa kwa vyombo vya habari, akihutubia Hamas: "Wana mbwa, wakabidhini mateka na tuondoleeni tatizo hili." Pia ametoa wito kwa shirika hilo la kigaidi: "Peana silaha zako kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na uwe chama cha kisiasa tu."
Weka clip mkuu
 
Hii huamini kuwa Hamas ni wana wa Mbwa??
kuomba clip hakuhusiani na kukataa hoja iliyo mezani, wala haimaanishi kuikubali hoja iliyo mezani mkuu,

Hivyo kama clip au hata link ipo karibu tusaidie tunaoihitaji --- it also adds value to the thread started
 
Rais wa Mamlaka ya Palestina atoa kauli isiyo ya kawaida: "Hamas, nyinyi wana wa mbwa, wapeni mateka watuondoleeni tatizo hili."

Mwenyekiti wa Mamlaka ya Palestina Abbas alitoa taarifa kwa vyombo vya habari, akihutubia Hamas: "Wana mbwa, wakabidhini mateka na tuondoleeni tatizo hili." Pia ametoa wito kwa shirika hilo la kigaidi: "Peana silaha zako kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na uwe chama cha kisiasa tu."
Duh wazungu Wana matusi sana
 
Mada inasema HAMAS NI WANA WA MBWA!! Mambo houth na kondoo wapi na wapi.?
We unajua Israel na USA wanathamini mbwa kuliko huyo Abas kwa hio Bora uitwe mbwa kuliko kuitwa kibaraka au mtumwa kwenye dictionary 😄 😆 🤣

Israel=Mtumwa wa USA

Abas=Kibaraka wa USA
 
Back
Top Bottom