Hamadi Rashidi kufukuzwa chama cha ADC kwa Usaliti

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,045
114,503
Mwenyekiti ADC Bwn.Miraji ameviambia vyombo vya habari kuwa Hamad Rashid ni lazima afukuzwe.

Hamad aliyekuwa mgombea wa ADC ametuhumiwa kushirikiana na CCM kuhujumu Wazanzibar, Hamad ametajwa kuunga mkono uchaguzi kurudiwa!

Pia anatuhumiwa kwa ubadhilifu wa pesa na kutaka madaraka kinyume na utaratibu.
 
Last edited by a moderator:
Zitto hafukuziki.Zitto ni ACT na ACT ni Zitto.
Ubunge wa Zitto ni mrija wa chama kupata hela za kufanyia vikao.
 


Mkuu kwani Zitto si alishafukuzwa CDM?

Nachojua ACT ni chama chake binafsi (yeye ndiye nuru ya chama), labda ajifukuze.
 
Hivi Hamad si ndio aliyeanzisha hiki chama cha ADC...??
 
yeye chama kitamfia,unajua kama Mwigamba alishajitoa ACT?

Yes, point ni kumfia, siyo kufukuzwa!

Hivi hicho chama cha ADC kina hata mbunge?

Kimebahatisha kupata madiwani?

Maana vyama vingine inabidi vipunguzwe, tupunguze kuwa na utitiri wa vyama;

Huko mbele wanaona sisi tuko vizuri demokrasia kwa kuwa na mavya mengi kumbe geresha tu.
 
Acha upumbavu
Zitto ameingiaje humo!?
Mnapenda sifa za kijingajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…