Hamadi Rashidi achoma moto misumeno 40 huko Visiwani Pemba

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,489

Hamadi Rashidi ambaye ni waziri katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ameteketeza moto misumeno 40 aina ya Chain Saw ambayo imekamatwa kwenye operation ya kupambambana na waharibifu wa misitu na vyanzo vya maji. Kila msumeno una thamani ya zaidi ya tsh 1.5 milioni.

Source: ITV

Hizi ni dalili kuwa wapinzani wakipata nafasi........
 
Ila wapinzani akina MBOWE na lema
 
Amewafanyizia wa CUF, I guess!
 
Chainsaw zilipigwa marufuku zenj kitambo sana kabla ya HM kuwa waziri. Hii ni kutokana na kasi kubwa ya uvunwaji wa minazi kwa matumizi ya mbao za kupaulia na pia mikoko kwa mbao na mkaa. Kumbukeni zenj ni mji wa kitalii jamani so si vyema kuendelea kuona matumizi ya kifaa hiki hatarishi kwa uoto wa asili wa hivyo visiwa.
 
kama ametekeleza sheria, basi sawa!
 
Hata huku Tanganyika baadhi ya mikoa ni marufuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…