Halotel wakanusha huduma mpya yenye jina linalokosa maadili

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
1,301
739
Ndugu wapendwa wateja wetu, tunapenda kuwataarifu kuwa Halotel hatujatengeneza wala kusambaza kifurushi cha huduma mpya ambacho kimesambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii, Kama tunavyojali na kuthamini maadili katika nchi yetu. na tayari tumefungua kesi polisi yenye namba OB/RB/8181/2017 kwa kosa la kuingiliwa huduma zetu za mawasiliano. Tunasikitika kwa usumbufu uliojitokeza kwa wateja wetu, kutokana na maneno yaliyoandikwa katika kipeperushi hicho kukiuka maadili ya Kitanzania. Tunawaahidi kuendelea kuzingatia taratibu na maadili yote katika kutangaza bidhaa zetu, tunatoa pole kwa usumbufu wowote ambao umejitokeza.

Swali langu ni nani huyo atakayefunguliwa kesi?kwa maana picha ilisambazwa kwa whatsapp group na fb....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…