A
Anonymous
Guest
Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na changamoto ya mtandao wa Halotel hasa internet na mawasiliano ya kawaida, lakini kibaya zaidi kampuni haitoi ushirikiano kwa wateja wake na ukiangalia kila mteja analipia huduma hivyo ni lazima aipate sio ombi tena kwa maana ameshailipia.
Pia soma: KERO - Halotel Tanzania boresheni huduma zenu
Kurasa za halotel za mitandao hawajibu wateja licha ya malalamiko mengi kuanza kutolewa.
Ni kweli hii mitandao inasimamiwa ipasavyo na mamlaka simamizi au ni kukosa uwajibikaji kwa mamlaka husika?