Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,479
- 9,862
Ukipenda hauoni.
Unapokuwa kwenye mapenzi na mtu ni ngumu kuona mapungufu yake sababu ubora unaopenda kwake, unafanya upuuzie mapungufu aliyonayo. Kitaalamu hali hiyo inaitwa "Halo Effect".
Ila mwisho wa siku mapenzi huisha ndipo utakapo yaona hayo mapungu uliyo yapuuza.
binti sayuni licha ya kuwa na tako lakinbaada ya mapenzi kuisha niligundua kumbe ni mfupi sana😂😂, Ebu tuwambie ww uligundua nini?