Halmashauri ya Moshi kwa nini mnaamua kupandisha kodi za Maroli bila kujadiliana kwa kina na wahusika?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
54,267
27,034
Wafanyabiashara wa Moshi wenye malori wamegoma kuingiza malori barabarani baada ya sitomfahamu ya kodi iliopanda pasipo kushirikishwa

Wakiongea kwa uchungu wamesema wao waliitwa wakajulishwa upandaji wa kodi hivi karibuni wakaahidiwa wataitwa viongozi watajadiliana na kuona sh ngapi ya kuongezwa toka 5000.

Ghafla leo barabarani wamejazana kama punda wanasimamisha malori wanataka 15000. Baada ya kugoma Mkurugenzi aliwaita na kuafikiana hawataendelea na hii 15000 mpaka watakapokutana tena na viongozi kuangalia wanapunguzaje

Yaani halmashauri mnajiamulia tu kirahisi hivi watanzania sio wajiinga, mtatengeneza gen z zisizo na maana Kenya wamechoka walianza hayahya kupandishiana kodi sasa kodi zimefutwa bado wakao barabarani sio poa

Yaani kila tripu 15000, gari ikipiga tripu 10 mnakusanya 150000 Kwa siku, kwa mwezi X 30 huu ni utapeli kakaaaeni upyaaa, waliowadanganya wakajitathimini kama wanaweza endelea na hio ofisi watatokaa kabla hawajaanza kupokea hizo pesa wanazotaka

Watz tukichoka Kenya wajinga wale make mkijua haya, sio mambo ya kupandishana kodi kila siku ala
 
Inasikitisha sana yaani
Yaaan mkuuuu mkuregenzj anaulizwa anajibuu. kabisaa ati atukuwahii kuongeza siku nyingi

Sawa awajakataaa kaen mbagain nyie mnaajiamulia kuingia barabaran mkajua wajinga wanatoa aisee ajabu sanaaa

Haya ndiomamboo ya kuongeza ma gey z eac
 
Kutoka 5000 mpaka 15000 ni hela ndefu sana hapo watakao faidika ni wakusanyaji mana watakuwa wanakula hata 10,000 Lori linapita kule na hela itakuwa haiingii ofisini.
 
Back
Top Bottom