Halima Mdee na wenzake 18 kusamehewa na kurudi CHADEMA ni sahihi siyo jinai

tripof

JF-Expert Member
Apr 2, 2024
760
1,038
Mimi ninakubaliana kuhusu kurudi kwa akina Halima Mdeme na wenzake 19 kwa makubaliano na Kamati kuu na kwa kuomba msamaha kwa Baraza Kuu kwa vile hakuna binadamu asiye na kasoro.

Mbowe tumia weledi wa uongozi kwenye masuala yote magumu ya chama achana na makundi ya akina John Mrema wenye lengo la kukiua chama.

Nadhani chama hiki kinahitaji uongozi thabiti kwa vile kinapitia kipindi kigumu kuliko kipindi cha Magufuli.

CCM wakifanikiwa kuwandondosha hamtanyanyuka kamwe a la CUF na NCCR MAGEUZI si muda mrefu.

Rudini kwenye utaasisi.
 
Ukitaka chama kife kabisa rudisha hao COVID Hawa watu wamekula Kodi za watanzania bure kabisa
 
Mimi ninakubaliana kuhusu kurudi kwa akina Halima Mdeme na wenzake 19 kwa makubaliano na Kamati kuu na kwa kuomba msamaha kwa Baraza Kuu kwa vile hakuna binadamu asiye na kasoro. Mbowe tumia weredi wa uongozi kwenye masuala yote magumu ya chama achana na makundi ya akina John Mrema wenye lengo la kukiua chama. Nadhani chama hiki kinahitaji uongozi thabiti kwa vile kinapitia kipindi kigumu kuliko kipindi cha Magufuli. CCM wakifanikiwa kuwandondosha hamtanyanyuka kamwe a la CUF na NCCR MAGEUZI si muda mrefu. Rudini kwenye utaasisi.
MAMLUKI
 
Back
Top Bottom