Hali ngumu ya maisha

Maisha si magumu kama usemavyo, sema tu mlizoea ubabaishaji na uuzaji madawa huku mkijifanya wajanja. Magufuli anawashikisha adabu, kama unaona vipi rudi kijijini kawasaidie wazazi kulima kwani mjini si kwa kila mtu.
Hivi nkibadilishana maisha nnayoishi na magufuli sijui atakuwa anaongeaje.....Just thinking widely!
Au wewe ng'ombe ukiwa magufuli utafanya km huyo sishangai kwani akili za mtangulizi wako ndo akili zako
 
Hivi nkibadilishana maisha nnayoishi na magufuli sijui atakuwa anaongeaje.....Just thinking widely!
Au wewe ng'ombe ukiwa magufuli utafanya km huyo sishangai kwani akili za mtangulizi wako ndo akili zako


Pole kwa kuguswa.
 
Uzaa smart phone fugaa kuku wa kisasa
Uzaa smart phone fugaa kuku wa kisasa
Huna akili ,acha kukariri vitabu na maneno ya kwenye semina za wajanja wanaokula pesa za mambumbumbu kama wewe.
Unajua anamiliki simu ya sh.ngapi?
Na aliipataje, na sasa hivi akiiuza ataiuza kwa sh.ngapi?
Je, unajua kuwa yawezekana amepanga chumba kimoja au kimoja na sebule kitu ambacho hawezi kufugia kuku humo?
Mimi si mfugaji ila mama yangu huko mkoani anamradi wake wa ufugaji wa wastani uliomgharimu ml.2 kwa hatua zote za mwanzo mpaka anaanza.
Umeniboa kwa kuropokaropoka kwake kama unafikiri kwa miguu vile.
 
Nimetoka kununua vitumbua vya sh mia mia pale. Yule mama mchoma vitumbua analalamika kuwa wateja wamepungua sana... Anasema watu wanapiga pasi ndefu il brekfast ikutane na lunch kutengeneza kitu inaitwa 'branch'... Kweli hali si khali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…