Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,839
- 12,585
Habari jamiiforum.
Bila kupoteza muda leo tujadili hali hii ngumu ya maisha.
Wakuu.maisha mtaani ni magumu,jiji la Dar es salaam ambalo pengine ndiyo kioo cha hata mikoa mingine linajumuisha watu wengi wenye vipato vya chini mno. Ukiangalia Kwa haraka haraka au ukidanganyikq na stori za mitandaoni unaweza sema Tanzania imepiga hatua lakini ukweli ni kwamba bado tupo kwenye umasikini wa kutisha sana.
Kipato cha walio wengi Constant ni laki tatu Kwa mwezi,
Wastani wa shilingi elfu kumi Kwa siku mtu huyu ana mke na watoto tena wakubwa tu halafu kuanzia watatu na kuendelea.swali la kujiuliza Kwa kipato hiki mwanaume anawezaje kutunza familia, majibu yapo hapa.
1.kuruhusu mke ajitegemee (naye atafute pesa)
Wanawake wengi wanauza matunda,uji na biashara ndogondogo kama kuuza mkaa wa kupima mboga mboga n.k
Pia kucheza michezo kama vikoba n.k
Hapa ndipo umalaya wa wazi unapoanzia.
2.Kushindwa kusomesha watoto.na kujikuta wanaanza kujitafutia mapema.
Leo hii kimbilio la vijana wengi wadogo (wakiume) ni kuendesha pikipiki (bodaboda) hii ni kazi ya hatari sana.kwanza inawaletea tamaa kuwaibia wateja wao,au kuwachoresha Kwa majambazi .
Lakini pia kushika pesa katika umri mdogo Mara nyingi wanaharibikiwa na kujikuta wanaanzisha mahusiano mapema pamoja na kuzijua starehe Katika umri mdogo.
(Wakike) hapa sisemi Sana kuna mkoa niliwahi kwenda nikawakuta mabinti wadogo nane wakiwa wanahudumia kwenye baa umri Kati ya miaka 15 hadi 18.nilipomuuliza meneja wa pale kwamba Kwanini ameajiri mabinti wadogo vile akajibu wateja wanataka vitoto vibichi,kuliko wenye umri mkubwa nilishangaa sana.
3.Kupiga dili za hatari,wizi na utapeli.
Mtu mwenye kipato cha chini ni dhahiri hakikidhi mahitaji,kinachofanyika ni kuishi kiujanjaujanja kama kufanya vibiashara bila leseni au vibali,uvuvi haramu,uwindaji haramu na udalali wenye hatari.
Hasara zake ni kufa mapema au kufungwa kutokana na hali ngumu ya maisha kumbe afanyaje.
4.Kupata watoto wasio na maadili.
Wapo vijana ambao wapo tayari kuwa wake za watu Kwa kutaka maisha mazuri (msinibishie ) Kwa masikio yangu mtoto wa kiume nimemsikia yupo tayari kutoa visivyoelezeka ili tu apate maisha mazuri.
Vijijini sehemu nyingi hazina lodge za kueleweka hivyo huwa nalazimika kuegesha (nisiite kulala)popote ili pakuche niendelee na mishe zangu,lakini nimewahi kugongewa mlango na mtoto wa kike mdogo Sana, akaniuliza nataka huduma? Kiukweli nilishangaa,
Siyo kwamba ni mgeni na wanawake wa hivyo,kilichonishangaza ni umri wake,hata nilipomuuliza kwamba wazazi wake wako wapi,na ana umri gani akadai hahitaji maswali ,Bali nimjibu nataka huduma au la.
Nikauliza anataka shilingi ngapi,
Akajibu hivi nanukuu (kijoti) yaani muda mfupi 10000 na kama kulala hadi asubuhi 20000 ,nilisikitika sana nikamwambia anipe namba ya simu halafu tuonane kesho tuongee huku nikitoa noti mbili za elfu kumi nikampa ,
Alishangaa Sana kupewa hela halafu eti huduma ni kesho.
Basi bwana kesho asubuhi Yule mtoto alinipigia na kudai ana shida ,nikamjibu tutaonana baada ya kupunguza kazi.
Jioni binti wa watu alikuja akiwa ananukia vizuri na mavazi ya kumtega zaidi mwanaume japo licha ya kuvaa na kujitahidi kunukia haikuondoa muonekano wa yeye kuwa local.
Tulipiga stori huku kitoto kinakunywa bia si mchezo,kuja kunitajia umri nilichoka kabisa ,tena sana.baada ya hapo nikamwambia asinitafute kwakuwa Mimi Nina mke maeneo Yale nilidanganya.
Huku nikibadili lodge nikawa nakaa mjini zaidi .
Ndugu zangu haya ni machache kati ya mengi sana,kifupi maisha ni magumu mno , wazazi nao Wana watoto wengi kupitiliza na hawana uwezo kuwatunza .
Je nini kifanyike ili kuinusuru hii hali?
Toa maoni yako