Ni pale unapokuwa mwenye huruma na kumjulia hali mpenzi ambaye kwa kipindi hicho anakuwa ktk kipindi cha kuruka angani anakuwa na maumivu flani ya tumbo (Isfahan kama ni kwa wote) lakini upande wa pili yupo jamaa anafurahia hali hiyo kwa maana anashukuru kwa kuwa hajashika mimba, kwa maana mnasaidiana.