Zakayo Mtoza Ushuru
Senior Member
- Jul 31, 2024
- 111
- 134
Kwa namna Mch Peter Msigwa kada mpya wa CCM anavyoieleza CHADEMA ilivyo.
Mhe Tundu Lissu sioni haja ya wewe kuendelea kujitesa ndani ya CHADEMA wakati wewe kwenye Taifa hili ni hazina Kila mmoja anajua na kukubaliana na hili.
Mhe Tundu Lissu siku ukija CCM utapokelewa na marafiki zako akiwemo Mzee wako Waryoba, Mzee Pinda, Mzee Wassira na hata dada yako kipenzi Rais Samia Suluhu Hassan atakuwepo.
Soma Pia: Lissu karibu CCM Upumzike
Mimi na kaka yangu Peter Msigwa pamoja na Dkt Vicente Mashinji tutakuwepo kwenye mapokezi yako hakika Taifa litazizima kwa furaha.
Karibu CCM Mzalendo Lissu.
CHADEMA ni chama Cha familia utaumizwa bure ukitetea familia ya mtu halafu faida wapate wengine.