Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,518
- 7,327
Ndugu zangu wana Jf wanaume wengi sana hawatopenda kusikia ukweli huu maana unachoma kama moto kwa kisingizio cha masikini naye ana haki ya kupendwa na msemo wa mwanaume tafuta hela kuuchukulia kama ni msemo unaotolewa na wanawake malaya malaya.
Ifahamike wazi kuwa hakuna mwanamke yeyote chini ya mbingu anayeweza kumvumilia mwanaume masikini na hatokuja kuwepo, ukiona wewe ni masikini na unamiliki mwanamke jua wewe ni mjinga na muda ni jawabu zuri sana ipo siku mtaachana tuu au utachapiwa vilivyo
ikumbukwe kabla ya adamu kuumbwa katika misingi ya dunia Mwenyezi Mungu alimuumbia kwanza utajiri, alimjengea hadi bustani , wanyama wakila aina kwa jinsia zake, mimea ya mabondeni na makondeni, falme za kila jinsi na kwa namna zake, mito, maziwa ,bahari navyo viliumbwa, ndege na wadudu watambaao nao waliumbwa kwa kila namna zake, na mianga na giza kwa majira na namna zake, aliviumba na akampa adamu mamlaka , nguvu , utajiri na kazi za kila aina ikiwemo na kuitunza bustani pamoja na kuwapa majina viumbe hai wote wakila aina na kuwatawala ( mamlaka ya kutawala na kumiliki)
Baadae aliona siyo vyema akamuumbia msaidizi ambaye ni mwanamke, mwanamke alikuja na akamkuta adamu akiwa na utajiri wa kila aina na hakumkuta adamu akiwa masikini kama wanaume wa sasa tunavyo danganyana eti usitafute mwanamke ukiwa tajiri tafuta ukiwa masikini. Ewe mwanaume masikini usitarajie kabisa wewe masikini mwanamke akaja kwako na kukuvumilia.
Mwanamke hakupewa jukumu la kumvumilia mwanaume masikini bali alipewa jukumu la kumsaidia mwanaume tajiri tokea enzi na enzi kwa kumtii na mwanaume tajiri alipewa amri ya kumpenda na kutumia akili kuishi na huyo mwanamke kama chombo kisicho na nguvu.
Ikumbukwe utajiri siyo tuu uwe na hela au mali nyingi hata hizo chache ulizo nazo ni utajiri tosha kikubwa mwanaume uwe na utajiri utakao chochea mapenzi baina yako na mwanamke wako uliyepewa , mwanaume masikini asiye na chochote hapaswi kuwa na mwanamke lazima ajijenge kwanza ndipo atafute mwanamke.
mwanaume masikini hawezi kuwa na mwanamke kwa sababu-;
*Mwanaume masikini ni mzigo kwa mkewe na wanawe hawezi kutoa huduma ndani ya nyumba kabisa kabisa
*Mwanaume masikini kwa ujinga wake na kutokujitambua yeye ni kuhangaika kumwaminisha mwanamke maisha ni kuanzia chini kama kisingizio cha asiachwe
*Mwanaume masikini kutwa anawaza kusema yeye ni wakukosa tuu , kunung'unika na kubaki kuwasema wanaume matajiri vibaya badala atoke na kutafuta utajiri na heshima kwa bidii.
*Mwanaume masikini kutwa yeye ni kuona mwanamke ana mwonea , hampendi anamsaliti na anampanda kichwani yeye kazi yake ni kushindana na mwanamke kila kukicha
*Mwanaume masikini hana sauti ya mamlaka, kapoteza uwezo na nguvu za mamlaka akiamini kuwa masikini hana haki ya kuzungumza na kuongoza
*Mwanaume masikini hawezi kumtunza mwanamke, hawezi kuhudumia familia wala kutengeneza malazi na chakula kizuri kwa familia yake na mke wake, yeye ni kuwaza kimasikini masikini tuu
*Mwanaume masikini ni mwoga, mwenye hofu kuu ya kutongoza wanawake wazuri akiamini siyofungu lake daima ni mnyonge na dhaifu
*Mwanaume masikini bomani kwake hakuishi maradhi, njaa, kiu na hakuma amani kabisa.
* Mwanaume masikini ni mvivu na hawezi kuwa na kizazi tajiri maana mtoto wa masikini ni masikini na umasikini ni laana
* Mwanaume masikini hawezi kuwa mlinzi wa mke wake wala familia yake, hana uwezo wa kuwalinda kwa lolote kwani ni mnyonge, duni , dhaifu sana , na mwenye kulaumu kila kukicha badala ya kupambama vilivyo aondokane na umasikini
hivyo wanaume tambueni kuwa hakuna mwanamke atakaye vumilia mwanaume masikini huyo hayupo na hato kaa awepo , fanyani kazi acheni kujitia moyo mwanaume ni kupambana na kuwajibika vilivyo ili upende na upate mke mwema mtakaye endana nae tena wa kufanana na wewe.
kama unabishana na mimi filisika uijue tabia ya mke au mwanamke wako