Hakuna Mtanzania aliyesoma Uganda akafeli!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
So I have to assume kuwa watanzania wote waliosoma Uganda ni very bright. Sijui nyie mnapimaje uwezo wa Watanzania waliochemsha huku Bongo na kuamua kukimbilia kwenda kusoma Uganda, maana to my knowledge watanzania wote wanaosomaga Uganda huwa 'wanafaulu'.
 
Ivi ni kweli?
 
Shule gani ya msingi na ipo mji gani nimpeleke mwanangu na je kuhusu ada
 
Ata ulichokiandika mwenyewe hujakielewa na hujakifanyia tathimini mbona mwanangu kokukunza kafeli
 
Hata India
 
Acha umbea. Ukiona vipi nawe kasome Uganda.
Ukweli ni kwamba waganda wanajua maana ya elimu. Walimu wanafundisha na mazingira ni safi. Hivi unajua kwamba hakuna mwanafunzi Uganda anaetembea zaidi ya kilometer 2 kwenda shule au anaepanda daladala kwenda shule. Mazingira kule ni very conducive
 
Wewe ulitaka wafanyeje, wafeli au ndio bado akili yako imejaa ujinga kudhani elimu ya Tanzania ni bora kuliko ya Uganda?

Hii elimu ya Tanzania ya kukariri mitihani/past papers hadi chuo kikuu wewe unaona ni bora?

Watanzania sijui nani alituroga na kudhani kua mitihani migumu na ya kukomoana ndio ubora wa elimu, ingekua ndio hivyo nadhani Tanzania ndio ingekua nchi yenye elimu bora duniani.

Acha mawazo yasiyo na msingi, elimu sio mtu afeli bali afaulu, hilo ndio lengo la elimu.
 
inaelekea imekutouch mkuu
 
Nadhani wengi wao huwa wanaenda zile uni ambazo ni business oriented,just you and your fee

Mfano KIU ya hapa Dar,wao wwnachojali ni pesa tu na degree wanakupa kiulaaaini
 
kajaribu kusoma au mpeleke mwanao utapata majibu kama hakuna kufeli au kupo.
 
Bonge la point na fact
 
 
Nahisi nawe umesoma UG
 
Waliosoma UG utawajua tu kwa reply zao.
 
nitajie mwanafunzi aliyesoma international school of tanganyika alafu akafeli
 
kwani kuna mganda aliyesoma bongo akafeli?
 
Wewe utakua moja waliopata Div. V mkaamua kukimbilia UG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…