Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,434
- 45,109
Waswahili wakitumia fedha na baadaye kujiona wahitaji wanahesabu yale matumizi ni bure ni kama wamepoteza fedha.
Iwe ulihonga, ulinunua pombe na kitimoto, ulinunua midoli, gari, nyumba, ulifungua duka likafail hiyo pesa hujapoteza bali ulitumia ila hali ya umaskini ndio inakufanya uhesabu umepoteza.
Wewe ulipata millioni moja ukanywea pombe na vibinti hujapoteza pesa, bali ulitumia matumizi sahihi kwa wakati ule. Ulinunua nyumba ambayo haina faida hujapoteza pesa bali ulitumia matumizi sahihi kwa wakati ule ingawa kwasasa unaona umepoteza.
Tuache kuwasema vijana waliokuwa kwenye line ya pesa kisha baadaye kuwekwa kando kuwa walipoteza na kutapanya pesa. Walitumia matumizi sahihi kwa wakati ule.
Kila mmoja atumie pesa kwa kadri akili yake inavyomtuma, pesa ni number zenye thamani , tutapata tena thamani na fedha zitakuja tena.