Hakuna formula ya maisha wala usi copy and paste paper ya mwenzako, maswali yetu ya maisha hayafanani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,719
215,831
1674986006319.png
 
Your initiatives, discipline and efforts towards your ambitions determine your future. I can see that you are wise and intelligent, plan to achieve a PhD at 35 and not at 51 as our friend did!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama atakuwa bado hajapata hela. Kama ameshapata hela, aendelee na Investment zake ili hela hiyo zzae zaidi, halafu alipe kodi Serikalini watoto wetu waende shule. Kwa sasa hivi tunatakiwa kumtafuta/ kumtengeneza Reginald Mengi (RIP) mwingine
 
Lakini anaweza kwenda na vyote viwili; umri wake huo unamruhusu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom