Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,458
- 25,271
Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini?
Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana kweli? Kwanza itakuaje kama sio unafiki wa kiwango cha juu sana, kwa kiongozi kua na chuki na viongozi wa ndani chama chake halafu akawa na upendo na vyama vingine?
Au anataka kuwarubuni vyama vya upinzani waungane nae ili baadae apate kisingizio cha kushindwa uchaguzi vibaya na kisha awaache kwenye mataa?
Ama anataka kuwaingiza mkenge vyama vya upinzani ili hatimae vivurugike, vipoteze misingi na malengo yao na kusambaratika kama ilivyo kua wakati wa UKAWA, ili kukinufaisha chama chake tu?
Kulikoni leo atoe wito wa kuungana na vyama vingine vya upinzani hali ya kua siku zote huonyesha chuki navyo kwa kuvituhumu kufadhiliwa na CCM na vingine akiviita ni ccmB? Kaitoa wapi imani ya ghafla kiasi hiki kwa wapinza wa vyama vingine kuungana nae kama sio ulaghai, utapeli wa kisiasa, kupoteza dira na uelekeo?
Kama mdau wa siasa nchini,
nashauri na kutoa wito kwa vyama vyote vya siasa nchini, hususan vya upinzani, kupuuza wito wa kibaraka na kibaka huyo wa siasa za Tanzania na kutothubutu kabisa kuungana na laghai huyo wa siasa kwa namna yoyote ile, kwasababu huyo ndie alikua chanzo cha kusamabaratika UKAWA na kudumaza vyama vingine, lakini pia aliwarubuni ACT wazalendo 2015 wakamuunga mkono na athari kurubuniwa huko mpaka leo bado kunawatesa ACT. Waliachwa kwenye mataa licha ya kumtosa mgonbea urais wao hayati Bernad Membe, hawakuamini kilichowatokea baada ya uchaguzi.
Wapinzani ina faa kujiepusha na kuogopa utapeli wa kuunganishwa na mpiga dili ombaomba pesa asieaminika, ili kunusuru misingi ya vyama vyao na fedhea za kutoswa na kuachwa kwenye mataa mbeleni.
Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ana makazi ya kudumu ughaibuni.
Mungu ibariki Tanzania