mangenjile
Member
- Nov 5, 2015
- 54
- 4
Hakuna vya bure mkuu,kama huwezi nenda bandani kalipie kuona taarifa ya habari 100/=Tunataka chanel zile za bure zirudishwe la sivyo waturudishie analogia yetu maana antena bado tunazo. Hii ni laana na unyonyaji mkubwa kwa kutaka kuwakamua maskini wa nchi hii kila walichonacho.
Asante kwa picha japo kichwani ulisahau walau kupitisha kitana na pengine maji
Upo kikosi gani?Siku zote mimi naamini hakuna aliye mkamilifu na kila binadamu ana mapugufu yake japokua mengine hayawezi kujionyesha lakini kuna wengine watakujua upungufu wako. Hata kukosea ni jambo la kawaida sana kwa binadamu kwahiyo unapokosea inapaswa kurekebishana
View attachment 454112
Hata mimi najua kuna wengine nishawakoseaga ila haina budi kunisamehe na wale walionikosea nishawasamehe!
ahahah mbona unafanana na yule jamaa aliyekufa na nyoka wake kule songea............ kikikiki wacha kutupia selfieSiku zote mimi naamini hakuna aliye mkamilifu na kila binadamu ana mapugufu yake japokua mengine hayawezi kujionyesha lakini kuna wengine watakujua upungufu wako. Hata kukosea ni jambo la kawaida sana kwa binadamu kwahiyo unapokosea inapaswa kurekebishana
View attachment 454112
Hata mimi najua kuna wengine nishawakoseaga ila haina budi kunisamehe na wale walionikosea nishawasamehe!
Sijui nijipatie avatar hapa? mshana jr please advise
nimekubaliana na wewenot adviced