Hakika chama anatokesea Wana Yanga

makilo

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
2,617
5,258
CHAMA ANAFANYA USAFI HUKO INSTAGRAM

Nyota wa Simba anayecheza Yanga kwa sababu ambazo hata yeye hazijui ameanza kufuta Picha zote alizowahi kupost akiwa na jezi ya Yanga, Kuanzia siku anatambulishwa hadi leo

Chama amebakiza Picha na Video akiwa na Jezi ya Yanga zile ambazo amepewa Colaboration na Ukurasa wa Yanga na watu wengine ambazo kimsingi sio yeye alipost

Ajabu ni kwamba Chama amefuta hadi zile picha za utambulisho wake hapo Yanga ila kabakisha ile Post yake ya kuwaaga wanasimba

Chama hadi leo hajawahi kufuta post yoyote akiwa na Jezi ya Simba pamoja na kwamba alishaondoka Simba

Huenda Chama ameamua tu kupunguza picha zake Instagram yake imejaa labda

Vipi wanasimba mtampokea au ndio mnakaza vichwa ?

Chanzo mwanasport
 
Chama hapewi nafasi anayotakiwa kupewa.

Bila kumvunjia Dube heshima, Probably Chama angepewa nafasi ya Prince Dube huenda angefunga magoli mengi zaidi sababu Chama ana utulivu mkubwa wa mpira kuliko Dube
Uzi ufungwe Sasa umemaliza kabisa mjadala ufungwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom