Haka ka mchezo ka Bodi ya Mikopo (HESLB), deni langu linazidi kuongezeka badala ya kupungua

manto

Member
Mar 9, 2016
56
44
Nashindwa kuelewa kwanini Bodi ya mkopo Tanzania inawaumiza watanzania kwa kiasi hicho.Nimeshangaa sana kuonana deni lazidi kuongezeka badala ya kupungua.Sasa nahisi itakuwa wanafanya biashara sio makubaliano tena ya kimkataba.Mama Ndalichako tunaomba uangalie hilo.
 
Ndugu yangu... Hayo mambo hadi hii awamu ya JOM iishe ndio kutakuwa na ahueni.. Zaidi ya hapo lazima tuendelee kuumia.
Huyu jamaa ana roho mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…