Hajji’s Fix Tunatatua matatizo mbalimbali ya simu

lil pablo

Senior Member
Jan 6, 2018
108
51
Hajj's_ifix

TUNAKUFATA, KUFANYA KAZI POPOTE ULIPO, MBELE YA MACHO YAKO*

Bei tumeshusha Kwa 30%

TUNABADILISHA VIOO ORIGINAL VYA IPHONE ZA AINA ZOTE

KWA GHARAMA NAFUU KWA KUTUMIA MITAMBO MAALUM TOKA BELGIUM

*KWA IPHONE ZILIZOCHAKAA AU KUCHUBUKA , TUNAZIRUDISHA KUWA MPYA KWA DK20*


GHARAMA ZA DISPLAY , HOUSING NA BATTERY


Iphone 5
Kioo; 45,000
Battery; 25,000. 100%
*Housing; 25,000*

IPhone 5c
Kioo; 50,000
Battery; 25,000. 100%
*Housing; 30,000*

IPhone 5s
Kioo; 50,000
Battery; 25,000. 100%
*Housing; 30,000*

Iphone 5 SE
Kioo; 60,000
Battery; 30,000. 100%
*Housing; 60,000*

IPhone 6
Kioo; 80,000
Battery; 30,000 . 100%
*Housing; 50,000*

Iphone 6plus
Kioo; 90,000
Battery; 40,000. 100%
*Housing; 50,000*

IPhone 6s
Kioo; 90,000
Battery; 30,000. 100%
*Housing; 50,000*

IPhone 6s Plus
Kioo; 100,000
Battery; 40,000. 100%
*Housing; 50,000*

Iphone 7
Kioo; 100,000
Battery; 35,000. 100%
*Housing; 50,000*

Iphone 7plus
Kioo; 130,000
Battery; 40,000. 100%
*Housing; 50,000*

IPhone 8
Kioo; 100,000
Battery; 50,000. 100%
*Housing; 100,000*

IPhone 8 Plus
Kioo; 150,000
Battery; 50,000. 100%
*Housing; 100,000*

IPhone X
Kioo; 350,000
Battery; 70,000. 100%
*Housing; 150,000*

*NB; gharama ya ufundi ni BUREEEEEEEEE*


UKIHITAJI KUFATWA MAHALI ULIPO KUFANYIWA HUDUMA YA UFUNDI TUNAKUFATA

Matatizo madogomadogo tunarekebisha pia
Mf; camera, vibrations, simu kustuck, speakers, simu ikiingia Maji, simu kupata moto, system charge, simu kuzima zima,kunyonya battery, nk....


VYA KUZINGATIA KABLA HUJANUNUA IPHONE YOYOTE

Ingia settings tazama battery health hakikisha haijaandika "service"
NB; battery zuri linaanzia 87%-100%

hakikisha fingerprint inafanya kazi

unaruhusiwa kunipigia simu mda wowote nikusaidie kukupa maelekezo ya vitu vingine vya muhimu, kama utakuwa unanunua popote.

NB; VIOO na BATTERY NI ORIGINAL, NA WARRANTY YA MIEZI 6 UNAPATA.


0717146364
0692947079
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom