farajakwangu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,942
- 698
Uzuri wa nyumba chooniUzur Wa nyumba lazima uchek ndani
Zigo remix
Na kiboko ya mwanamke ni pesa ya mwanamme...Nakwambia kiboko ya mwanaume ni mwanamke
Kweli mkuu, basi itakuwa mrembo wa mwendo kasi kwakweli
Kumbe na nyie huwa mnapagawa na hawa wenzenu ee!!!!Zigo remix
Sisi wengine hatuna mwezi wa toba ni kula kuku siku 366 maisha yako yote na vitu kama hii ndio inatupa siku nyingi za kuishi duniani.Jamani mwezi wa toba huu waungwana!