johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,246
- 168,813
Msemaji wa IDF mh Hagai amesema mikono ya Kiongozi Mkuu wa Hezbollah mh Nasrallah aliyeuawa ilikuwa imejaa damu za binadamu wasio na hatia
Yule alikuwa Kichwa Cha Ugaidi duniani na sasa tumekifyeka huku tukiendelea kukishughulikia Kiwiliwili kilichobaki
BBC
Yule alikuwa Kichwa Cha Ugaidi duniani na sasa tumekifyeka huku tukiendelea kukishughulikia Kiwiliwili kilichobaki
BBC