VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,169
Nani mtetezi wa haki za walaji huduma za mitandao,
Vodacom wameweka vihuduma vingi vya wizi. Unamkopesha mlaji huduma muda wa maongezi mfano 2500 atalipa ada 500 ,20%!!!; punde akiongeza salio ambapo mara nyingi ni haitozidi juma moja!
Hawa wanatengeneza faida ya kufuru na kwa kuwa walaji wengi wanaelimu duni na uwezo mdogo wengi wanadhani mitandao inawajali.
Tafadhali TCRA,BOT, na wadau walaji amkeni wasaidieni walaji wanaibiwa sana kwa hadaa.
Sent using Jamii Forums mobile app