Surgical Blade
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 349
- 16
Njia rahisi ya kuhack nokia symbian series,
Fuata maelekezo
doesnt work for nokia c5
type (drankkarious 3.1)
katika google, search, huna haja ya kuenda mbali, ingia mobile9
then download
SASA FANYA HIV
kabla huja install change your phone date to 15/05/2007
kisha intall
utaona application zifuatazo
x-plore, hellocarbide, caps on na caps off
kabla ya yote fungua x-plore then iminimize, usi close,
then fungua
ki application kilicho andikwa, hellocarbide kisha click option then choose menu 1 halafu click yes upande wa kulia,
kisha ui close,
sasa
fungua x-plore uliyo minimize,
utaona zip file iliyo andikwa (hack.rar) fungua kisha kwa ku click option extract ''installserver.exe'' to sys>bin.
Fuata na capsoff.dbf nayo extract to sys>bin. Restart your phone
YOUR DONE
NOTE:
usi extract hizo server sehemu nyingine,
baada ya kumaliza waweza ku uninstall X-plore
doesnt work for Nokia C5 03