Habarini wadau, je inawezekana kijana ambaye amemaliza form four 2018 na kutaka kusoma diploma nyingine ya upande wa afya mwaka 2025

Habari zenu humu ndani,
Nauliza mfano mtu kamaliza form four 2018 na akaend diploma akamaliza 2022, je anaweza apply mwaka 2025 kusoma diploma ya afya mfano MUHAS na kupata au achague tu private ingawa qualifications anazo.
Ndio inawezekana hakuna shida kabisa
 
Mimi nimejibu hivyo kulingana na uzoefu wangu katika wizara ya afya, yeye aliyeuliza atanijibu.
Mkuu uzoefu wako hauna msaada kwenye swali lake, Yeye kauliza kama Muhitimu wa kidato cha Nne 2018 ambaye alisoma diploma je anweza kusoma diploma nyingine sasa ?
 
Back
Top Bottom