Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,742
- 40,874
Mtu hovyo katika Ubora wako
Kwa hio kushikana mkono na Rais ndio kupewa Green light?
Wangapi wameshikana mkono na Kikwete?
Ninyi mashabiki wa Maigizo haya tunawaangalia tu...Siku moja mtakuja kutuelewa
Tulishasema...Hakuna mabadiliko yoyote ya maana wala vita ya Rushwa na Ufisadi inayoweza kufanywa na CCM
Leo Rais anaenda kukaa na wakwepa kodi anawaomba warudishe pesa walizokwepa....Hivi hii ni Tofauti na kuwaomba wezi wa EPA warudishe pesa?
Tunataka maamuzi ya maana sio kufukuzana na wafanyakazi wadogo kwa minajili ya cheap Popularity
Alafu leo anakuja mtu anaitwa mwanakijiji anajidai ana "hati miliki" ya mabadiliko
Hovyo kabisa
Kunawatu bado wanaimani na Serikali ya ccm, Aaaah nchi ya wadanganyika
BACK TANGANYIKA
Wewe unasumbuliwa na inferiority complex.Mtu hovyo katika Ubora wako
Kwa hio kushikana mkono na Rais ndio kupewa Green light?
Wangapi wameshikana mkono na Kikwete?
Ninyi mashabiki wa Maigizo haya tunawaangalia tu...Siku moja mtakuja kutuelewa
Tulishasema...Hakuna mabadiliko yoyote ya maana wala vita ya Rushwa na Ufisadi inayoweza kufanywa na CCM
Leo Rais anaenda kukaa na wakwepa kodi anawaomba warudishe pesa walizokwepa....Hivi hii ni Tofauti na kuwaomba wezi wa EPA warudishe pesa?
Tunataka maamuzi ya maana sio kufukuzana na wafanyakazi wadogo kwa minajili ya cheap Popularity
Alafu leo anakuja mtu anaitwa mwanakijiji anajidai ana "hati miliki" ya mabadiliko
Hovyo kabisa
good!!!Endelea kupoteza muda kwa kufuatilia maigizo. Mzee mzima lakini akili za kitoto!
Ondoa shaka; kazi ya sasa ni kusafisha tu hata RO ataondoka. Sioni kama atasalimika hadi Machi.Nilileta thread kuhusu Mkuu wa Usalama wa Taifa, Rashid Othman lakini Moderator wakainyofoa haraka!
Ninashangaa bado yuko ofisini wakati makosa ya Dk. Hoseah yanaigusa pia Idara ya Usalama wa Taifa ambao boss wake ni Rashid Othman.
Something has to give!
Sijui hao wapumbavu walilishwa kitu gani kilichoondoa kabisa uwezo wa ubongo wao kufanya kazi!Lakini bosi wako Mzee Mtei amesema Uongozi wa Raisi Magufuli haujawahi kutokea Tanzania kwa ubora, yaani jinsi anavyopambana na ufisadi, sasa je unapingana na Mzee Mtei?
Mtu hovyo katika Ubora wako
Alafu leo anakuja mtu anaitwa mwanakijiji anajidai ana "hati miliki" ya mabadiliko
Hovyo kabisa
Unajua hadi leo wengi wa hawa hata hawajui kwanini mtu wao alikataliwa! Au hawaamini kabisa kuwa amekataliwa. Wanatafuta kila namna ya kuelezea kuwa hajakataliwa.Sijui hao wapumbavu walilishwa kitu gani kilichoondoa kabisa uwezo wa ubongo wao kufanya kazi!
Kunawatu bado wanaimani na Serikali ya ccm, Aaaah nchi ya wadanganyika
BACK TANGANYIKA
Mwanakijiji si mtanzania ila una asili ya kitanzania huna. Tofauti na obamaWenzenu mabadiliko ndiyo hivyo yanatokea na yanaonekana; wewe utabaki unazungurusha mikono ukidhani mabadiliko ni mtu fulani!
Ilinichukua muda mrefu ku-digest maneno ya Mzee Mkapa aliposema Wapumbavu na Malofa.Unajua hadi leo wengi wa hawa hata hawajui kwanini mtu wao alikataliwa! Au hawaamini kabisa kuwa amekataliwa. Wanatafuta kila namna ya kuelezea kuwa hajakataliwa.
Kunawatu bado wanaimani na Serikali ya ccm, Aaaah nchi ya wadanganyika
BACK TANGANYIKA
Na akili zako wewe ndo zipi hapa katika mada?Endelea kupoteza muda kwa kufuatilia maigizo. Mzee mzima lakini akili za kitoto!