Habari njema kwa free internet: Niambie upo katika jengo gani lenye wifi iliyofungwa

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,306
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza niambie upo karibu na jengo, hotel au chuo gani lenye/chenye wifi iliyo na password search katika simu yako nipe jina la ilo jengo nitakupa password yake na uenjoy internet free

ni kwa wale wa dar na baadhi ya maeneo ya morogoro na dodoma
 
Nipo hapa jengo la polisi Kati dsm.
 
Fanya mpango mi niko bandarini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…