Helloooo jf member,nawasalimu sana.Napenda kuuliza hivi,unakuta unamuuliza mschana,aisee yule ni mpnz wako ambaye nimekuona naye siku ile au sehemu ile,sasa jibu lake ndo linanishangaza eti hapana yule ni kama kaka yangu namuheshimu sana,sasa najiuliza hv ww msichana unaingia kwny mahusiano na mtu usiyemuheshimu?
Back boys too,naye unamuuliza hoya yule mschana nahc umeshamalza,naye jibu kama la upande ule wa pili,eti haaa! Yule kama dada yangu,namuheshimu sana.
Najiulza hili swali je boys and girls uwa tunadate watu tusiowaheshimu,au tunajibu kuficha uhalisia,ni mimi Rutakana asiyewaamini wanawake .