Gwajima wape ushahidi wabunge wa upinzani issue ihamie Bungeni

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,695
149,921
Mimi naona hii ndio njia pekee iliyobaki as long as ushahidi huo upo maana unaweza ukatoa ushahidi huo hadharani na bado wahusika wakaa kimya hivyo njia pekee ni jambo hili kutinga Bungeni.

Wabunge wa upinzani wakijiridhisha kuwa huo ushahidi ni wa kweli bila shaka watauchukua na kuupeleka Bungeni kuwa na kuujengea hoja ndani ya Bunge kwa kuzingatia ukweli kwamba kutumia cheti ambacho sio chako ni kosa la jina na ikizingatiwa mtuhumiwa ni mtumishi wa umma hivyo hapaswi kabisa kufanya hivyo.

Kamati husika ya Bunge likijiridhisha na ushahidi basi jambo hilo kupelekwa Bungeni na kujadiliwa kama hoja binafsi ya mbunge na hatimae Bunge linaweza kuweka maazimio na kuyapeleka serikali kwa utekelezaji na maazimio ya Bunge yasipotekelezwa wabunge mnaweza ku-deal na waziri mkuu kwasababu huyo ndio size yenu na mnajua cha kumfanya.

Ni ushauri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…