Askofu Gwajima, mbunge wa CCM, na kiongozi wa Kanisa la Uzima na ufufuo amesema kuwa nchi haina haki, maisha ya mwanadamu hayathaminiwa. Akasema hakuna sababu ya kuteka watu. Akauliza ni kwa nini maisha ya mtanzania hayathaminiwi?
Ameendelea kusema kuwa mitungi yote ya gas tunayoiona, hakuna hata wa kampuni moja uliojazwa gas ya Tanzania. Akauliza, ni kwa nini?
Anasema kuwa nchi ina mapepo.
Najiuliza: hayo mapepo yapo kwa viongozi au watanzania wote? Hayo mapepo tutayaondoaje?
Hii nchi ni nani aliyeridhika na yanayoendelea? Maana wananchi wanalalamika (isipokuwa machawa), viongozi wa siasa wanalalamika (isipokuwa viongozi machawa), viongozi wa dini wanalalamika.
Kama sote tunalalamika, nani wa kuchukua hatua kuyaondoa tunayoyalalamikia?
Msikilize Gwajima: