Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,498
- 7,065
Mdhamini na Mfadhili wa Yanga SC Ghalib Said Mohamed leo amekutana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Salim Abdallah Muhene Try Again katika Ibada ya Sikukuu ya Eid Fitr.
GSM na Try wamekutana katika Msikiti wa Oysterbay na kusalimiana kwa kukumbatiana licha ya kuwa kuna mvutano mkubwa kwa sasa wa timu zao kuvutana kucheza derby iliyoahirishwa March 8.
Video: Millard Ayo