Habar za wakat huu Wadau.
Nina tatizo kwenye Simu yangu, nikiweka laini ya Airtel inawasha GPS automatically kama nimewasha data na hata nikizima baada ya sek kama 45 inajiwasha tena nimeshindwa kuelewaTatizo ni nn maana nikiweka laini za Mitandao Mingine Tatzo kama hili halijitokezi.
Kwa yeyote anaejua nn linaweza kuwa Tatzo hasa naomba Msaada.
Simu ni TECNO H5.