Hakuna Jipya HumoHizi simu siku hizi Zina Nini? Kama soko lake linaporomoka sana
Ahsante kwa maoni yako mkuu, karibu ujaribu na za kwetu mkuu bei ya ofa sasa ni 480,000 tu unapata warranty, free charger, free cover na kama upo Dar free delivery.Hizi simu hamnamo kitu.....zinajifia mkononi na zinachemka mno. Labda ziuzwe 150k kushuka chini.
300k boss hauchukui?Jipatie Google Pixel 5 yenye 5G iliyotumika USA (Second Hand)
Warranty 6 Months
View attachment 2745724
Imenyooka sana Grade A imetumika kwa upendo sana
View attachment 2745726
View attachment 2745729
View attachment 2745732
0764081567
Free Charger
Free Cover
Free delivery in Dar es salaam
yaani mpya napata 400k afu used uniuzie 390k mkuu kweli ?Kwa hii hapana boss wangu.
ila nina Pixel 4A5G hiyo utaongeza 90,000.. utapata kwa 390,000
View attachment 2748931
View attachment 2748932
poa poa mkuuNdo bei zangu boss wangu.. jaribu ku bargain na huyo wa mpya 400,000 anaweza kupa used kwa 300,000
Mkuu hzi simu labda ununue mpya.... nlinunua google pixel 5a nimekaa nayo 3month... siku hiyo naitumia ikajizima ghafla ...mpaka leo haijawaka nimepeleka kwa mafundi nao wamechemkaHizi simu siku hizi Zina Nini? Kama soko lake linaporomoka sana
Pole sana mkuu kwa yaliokukumba, hawakukupa warranty kama navyo toa mimi?Mkuu hzi simu labda ununue mpya.... nlinunua google pixel 5a nimekaa nayo 3month... siku hiyo naitumia ikajizima ghafla ...mpaka leo haijawaka nimepeleka kwa mafundi nao wamechemka
Google pixel refurbished sio za kununua kabisa