Kwani Google, Apple na Palestine nini kilianza kuwepo?
Kabla ya Google na Apple, Palestine ilikuwa haitambuliki kwenye ramini za kwenye Atlas?
Wangese tu Palestina itaendela kuwepo mpaka siku kitaeleweka
Niljua lazma uanzishe maada nyingine kwene huu uzi baada ya kujadili maada husika!! Nishakukalili nakumbuka kwene topic ya uhusiano wa tanganyika na Rwanda Burundi ulivokazana na mada ya zanzibarUmeshasema waiondoa kwenye ramani ya dunia, inamaanisha kivyao wamelazimisha kuiondoa but uhalisia ipo , ni sawa na kulazmisha ndoa za jinsia moja but uhalisia unajulikana ndoa ni baina ya mme na ke
Niljua lazma uanzishe maada nyingine kwene huu uzi baada ya kujadili maada husika!! Nishakukalili nakumbuka kwene topic ya uhusiano wa tanganyika na Rwanda Burundi ulivokazana na mada ya zanzibar
Tunaenda na mifano, tatizo hio mifano ndio inawauma but vumilia tu mkuu
mkuu nasikia jana iran cyber walilipua viwanda huko Marekani pia nasikia Walilipua nyumba ya netenyau embe nenda Google
Unaiju vizuri I historian ya wafilist na waisrael!? Au umemezeshwa mawaidha?Wangese tu Palestina itaendela kuwepo mpaka siku kitaeleweka
Mimi sitazami hili suala kwa kufuata mtazamo wa kidini. Kwanza sijui ni kwanini kila anayesimama na wapalestna uwa mnadhani ni Muslim. Mimi siyo Muslim nimetokea familia ya Kikristo na kwenye ukoo wetu sijawahi sikia kama kuna Muslim kama yupo simfahamu.Unaiju vizuri I historian ya wafilist na waisrael!? Au umemezeshwa mawaidha?
Ishu hata cyo mifano ishu ya kuhama mada ....Kama unataka kujadili hizo maada ambazo zinakukereketa bas uwe unafungua uzi wako mwingine!!Tunaenda na mifano, tatizo hio mifano ndio inawauma but vumilia tu mkuu
au Wakenya waje Bongo waseme walipewa ardhi na Mungu wao mwaka 340..!!Mimi sitazami hili suala kwa kufuata mtazamo wa kidini. Kwanza sijui ni kwanini kila anayesimama na wapalestna uwa mnadhani ni Muslim. Mimi siyo Muslim nimetokea familia ya Kikristo na kwenye ukoo wetu sijawahi sikia kama kuna Muslim kama yupo simfahamu.
Kujustify wanachofanyiwa wapalestna kwa kigezo eti ni ardhi ya ahadi ya waisrael Mungu wao aliwaahidi ni jambo ambalo lina ukakasi. Na pia iweje watu waondoke Israel miaka na mamiaka halfu eti warudi kwao. Hivi leo hii Wangoni wanaweza kurudi South Africa kudai ardhi waliokuwa wanaishi?
Hapo unapiga makelele tu.Mimi sitazami hili suala kwa kufuata mtazamo wa kidini. Kwanza sijui ni kwanini kila anayesimama na wapalestna uwa mnadhani ni Muslim. Mimi siyo Muslim nimetokea familia ya Kikristo na kwenye ukoo wetu sijawahi sikia kama kuna Muslim kama yupo simfahamu.
Kujustify wanachofanyiwa wapalestna kwa kigezo eti ni ardhi ya ahadi ya waisrael Mungu wao aliwaahidi ni jambo ambalo lina ukakasi. Na pia iweje watu waondoke Israel miaka na mamiaka halfu eti warudi kwao. Hivi leo hii Wangoni wanaweza kurudi South Africa kudai ardhi waliokuwa wanaishi?
Wewe unafanya nini unapiga mapambio au?Hapo unapiga makelele tu.
Hawa jamaa ni ndugu.
Wewe ni MTU wa mataifa na ni mtumwa tu.
Tuendelee na life letu na waendelee na conflicts zao