Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 553
- 1,027
ππ’π’πππ π ππ£ ππ ππ¨π πͺππ§π¨ πͺππ§ππ§π¨
Watu watatu wamepoteza maisha baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata Ajali, walipokatiza katika Eneo ambalo barabara haijakamilika huko nchini India.
Google maps imewadanganya watu watatu na kupelekea kufa baada ya gari walilokuwa wamepanda kupotea njia na kuanguka kwenye Eneo ambalo daraja halijakamilika kwenye mto wa Ramganga nchini India.
Daraja Hilo lilikua limevunjika kipindi Cha mafuriko. Miezi kadhaa iliyopita, wanaume hao watatu walikua wanasafiri usiku kuelekea mjini ambapo hawakuona kama Daraja limekatika maana kwenye Google maps imeonyesha daraja Liko vyema ndipo walipoanguka kwenye mto na kupelekea kufa.
Familia za waathilika, zinataka mamlaka husika kuwajibika maana hawakuweka Alama yoyote kuhashiria Kuna tatizo na uchunguzi uliofanywa unaonyesha wahusika walitumia Google maps wakati wanapata Ajali.
Nani wa kuwajibika Google maps au Serikali ?π₯±
#bongotech255