Google JamiiForums

Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
12,276
23,854
Salamu, wana JF!!!

Uzi huu ni makhususi kwa ajili ya marejea au mafafanuzi ya mambo mbalimbali muhimu. (Simply ^kuwekana^ sawa)!!!

Hii ni kama Google ndogo -- Google JamiiForums!!!

Inaweza tukio au tarehe fulani ya tukio, neno au matumizi yake, habari tata, hoja isiyoeleweka, historia fulani, kuhitaji kusahihishwa ama kusaidiwa jambo fulani, na mambo mengine mengi.

Hii inalenga nyanja zote za taaluma: sanaa, sayansi, na sosholojia, nk

Mfano: Naomba kufafanuliwa au nahitaji kufafanua suala A.

Karibuni Google JamiiForums!!!

Extrovert
 
Sawa
 
Back
Top Bottom