chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Viongozi wanapaswa kuwa kwa kwanza kusamehewa kodi?Amesema viongozi wa Tanzania wanapaswa kuwa wa kwanza kusamehewa kodi kisha wananchi pia wasemehewe baadae na wao
Duh,yaani kati ya hoja zake muhimu ameona hii ndo hoja kubwa.
Mbunge wa Ulanga ameshangaa suala la wao kukatwa kodi kwenye kiinua mgongo na kudai kuwa kwa mipango hiyo mwakani serikali inaweza ikawaambia wauze magari yao watembelee pikipiki na baiskeli na mwaka unaofuata watasema wapangishe ikulu rais akaishi Mbagala.
Amesema viongozi wa Tanzania wanapaswa kuwa wa kwanza kusamehewa kodi kisha wananchi pia wasemehewe baadae na wao
Hili ni Pumba yake ya pili ndani kikao kimoja cha Bunge! Nadhani hayo ndio madhara ya kurithi ubunge sababu mama alikuwa mbunge basi zawadi ni kwa mtoto kuendeleza uimla! Na pia hayo ndio madhara ya kuandikiwa nini cha kusema! Wakiachiwa ndio hayo! Sasa! Wananchi wake naona wameingia chini ya Meza kwa aibu hiyo!Duh,ndo upeo wake ulipoishia hapo yaani.Yaani kati ya hoja zake muhimu ameona hii ndo hoja kubwa.
Katika wabunge wenye hoja DHAIFU huyu Mbunge yupo cjui wanashindaje kweny chaguz zao
Mbunge wa Ulanga ameshangaa suala la wao kukatwa kodi kwenye kiinua mgongo na kudai kuwa kwa mipango hiyo mwakani serikali inaweza ikawaambia wauze magari yao watembelee pikipiki na baiskeli na mwaka unaofuata watasema wapangishe ikulu rais akaishi Mbagala.
Amesema viongozi wa Tanzania wanapaswa kuwa wa kwanza kusamehewa kodi kisha wananchi pia wasemehewe baadae na wao
Kakulia magorofani uyo dogoHuyu jamaa sidhani kama huwa anakuwa serious, naona kama huwa anafanya komedi bungeni
Shudu.